Msanii Chris Van Destin kuachia 'Baba Do it for me

Msanii Chris Van Destin amewaahidi mashabiki zake kukaa mkao wa kula maana mwezi Januari anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao anasema una vionjo vizuri sana na pia amesema video ya wimbo huo itatoka mwezi Machi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS