Serikali yavitoza faini viwanda uchafuzi Mazingira
Serikali imevitoza faini ya jumla ya shilingi milioni 40 kiwanda cha sukari cha Ilovo wilayani Kilombero na kile cha ngozi cha Ace Leather LTD,cha mjini Morogoro kutokana na ukiukwaji wa sheria za mazingira.

