Mapinduzi yasherehekewa na hisia tofauti
Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanyika leo Tanzania Visiwani na kudhuriwa na viongozi mbalimbali, huku kukiwa na hisia tofauti kutoka kwa wananchi wa visiwani humo kuhusiana na tukio hilo la kihistoria.

