Msako wa wezi wa umeme waendelea Mtwara
Shirika la Umeme Tanzinia (TANESCO) mkoani Mtwara limefanikiwa kumkamata Jema Khamisi, mkazi wa kata ya Chikongola manispaa ya Mtwara kutokana na kubaini kuwa anatumia umeme wa wizi kwa muda ambao haukuweza kubainika haraka.
