Mazungumzo Z'bar yashirikishe wadau wote-Wanasiasa
Baadhi ya viongozi wa siasa nchini wametaka wigo wa mazungumzo ya mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar upanuliwe kwa kushirikisha wadau wote badala ya kuviachia vyama vinavyovutana vya CCM na CUF peke yao.

