Seif amtaka Rais Magufuli aongoze mazungumzo Z'bar
Chama cha Wananchi (CUF) kimemuomba Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuingilia moja kwa moja mazungumzo ya kusaka suluhisho la mkwamo wa kisheria na kikatiba visiwani Zanzibar.
