Yanga yatakata Dar, Simba ikibanwa Kirumba Mwanza

Kikosi cha timu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam.

Vigogo wa soka nchini Tanzania wekundu wa Msimbazi Simba na mahasimu wao Yanga hii leo wameshuka dimbani katika miji tofauti katika moja ya michezo ya ligi kuu bara wakisaka pointi tatu muhimu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS