Mwenyekiti BAVICHA Geita atetea wachimbaji wadogo
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) wilaya ya Geita Bwana Mhere Mwita, amewatetea wachimbaji wadogo katika wilaya hiyo kuwa wana haki ya kupewa kuchimba dhahabu ili kuepuka kuuliwa na Askari mgodi.

