Witnesz kutoa zawadi ya 'Buku Jero' Rapa Witnesz aka Kibonge Mwepesi Rapa Witnesz anatarajia kumaliza mwaka na zawadi kubwa kwa mashabikiwa wake, video ya rekodi yake ya 'Buku Jero' ambayo amejipanga kuizindua rasmi leo usiku katika shoo kali ya Friday Night Live. Read more about Witnesz kutoa zawadi ya 'Buku Jero'