Snura atoa wazo kuinua filamu
Msanii wa muziki Snura ambaye misingi ya kile anachokifanya imejengeka kutoka katika tasnia ya uigizaji ametoa maoni yake kuwa, tasnia ya filamu inaweza kuamishwa tena kwa kuhusisha visa kutoka rekodi za muziki ambazo zimefanya vizuri.