Hali ya kipindupindu kwa sasa Tanzania
Hali ya ugonjwa wa kipindupindu katika mkoa wa Dar es salaam umeelezwa kumalizika kwa sasa baada ya kutoripotiwa mgonjwa yeyote wa kipindupindu tangu tarehe ishirini na mbili mwezi wa kumi na mbili mwaka 2015 hadi kufikia leo.
