Dkt. Mahiga atakiwa kuanza na mgogoro wa Burundi
Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemwagiza Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kikanda na Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dk Augustine Mahiga kuanza kushughulikia mgogoro wa Burundi.