Simba hawapo makini na makocha - Mwaisabula

Kocha wa siku nyingi na mchambuzi wa mpira wa soka nchini Tanzania Kenny Mwaisabula "Mzazi" amesema klabu ya Simba haipo makini katika kuchagua makocha sahihi na ndo maana inatimua makocha kila wakati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS