Kocha wa zamani wa Simba Dylan Kerr kabla ya kutimuliwa klabuni hapo jana
Wanachama wa baadhi ya matawi ya klabu ya Simba ya jijini Dar es salaam wameunga mkono kutimuliwa kazi kocha wao mkuu Dylan Kerr wakiamini yeye ndiye chanzo cha kuporomoka kwa kiwango cha timu.