Rwanda yawa ya kwanza kutinga robo fainali CHAN.
Wenyeji wa michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wachezao ndani CHAN timu ya taifa ya Rwanda imekuwa ya kwanza kutinga hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo kufuatia ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Gabon.

