Tuna imani ya kubeba kombe Ligi kuu - Majimaji FC Baada ya kipigo cha 2-1 kutoka kwa Azam FC kocha msaidizi wa Majimaji Hassan Banyai amesema, hawajakata tamaa katika mbio za ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about Tuna imani ya kubeba kombe Ligi kuu - Majimaji FC