Pato la taifa laongezeka, lafikia trilion 70.7
Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa wastani wa asilimia 6.9 katika kipindi cha robo tatu ya mwaka mmoja uliopita huku pato la taifa kati ya Januari na Septemba mwaka jana likifikia fedha za Tanzania shilingi trilioni 70.7.

