Zoezi la bomoabomoa lasitishwa hadi Januari tano
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania Mhe. William Lukuvi amesitisha zoezi la bomoabomoa kwa muda katika maeneo ya mabondeni na maeneo yaliyovamiwa na kujengwa kinyume cha sheria.