Ushindi dhidi ya JKT utawajenga wachezaji- Mayanja
Kocha Jackson Mayanja wa Simba SC amesema, ushindi wa jana dhidi ya JKT Ruvu utaweza kuwajenga wachezaji wake kujiamini katika michezo iliyo mbele yao katika muendelezo wa michuano ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara.

