Bagamoyo inaongoza kwa udanganyifu wa uuzaji ardhi
Halmashauri ya Bagamoyo Mkoani Pwani inaongoza nchi nzima kwa udanganyifu wa uuzwaji wa ardhi kwa watu binafsi,kughushi Mihutasari ya majina pamoja na kutumia ardhi kukopea mabilioni ya fedha kwa maslahi binafsi.

