Prof. Jay naye 'aula' kwenye kamati ya PIC
Mheshimiwa Joseph Haule, ambaye kwa upande wa sanaa anafahamika kama Proffesa Jay, akiwa sasa ni Mbunge anayeliwakilisha vizuri jimbo la Mikumi amechaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya bunge ya UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA (PIC).

