Bunge limemuangusha Rais Magufuli - Mtatiro
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mwanasheria kutoka Chama cha Wananchi (CUF) Julius Mtatiro amesema Bunge limemwangusha Rais Magufuli kwa kuchagua kamati dhaifu katika kamati zilizotangazwa hivi karibuni.

