Dk. Magufuli aahidi kuendelea kutumbua majipu
Rais Magufuli, ameahidi kuendelea kutumbua majipu na kuwaagiza wakuu wa mikoa nchini, kuhakikisha wananchi wao hawakumbwi na njaa na atakayeacha wananchi wakakosa chakula na kupoteza maisha atawajibishwa mara moja.

