Uchaguzi 2015 ulikuwa wa kihistoria - Jaji Warioba

Chuo kikuu cha Dar es salaam kimefanya kongamano la saba la jumuiya ya wahitimu ambapo mada kuu ilikuwa ''ni tafakuri juu ya uchaguzi mkuu wa 2015'' kwa kuangalia uzoefu, mapungufu, mafunzo na majaaliwa ya baadaye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS