Burundi iko salama 99% -Nkurunzinza
Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza amesema nchi yake ipo salama kwa asilimia 99% na haoni sababu ya kufanya mazungumzo na upande wa upinzani ila ametaka wote wanaounga mkono makundi ya waasi kucha kufanya hivyo mara moja.

