Mona Gangster kupandisha kichwa kingine levo za YK

Mona Gangster

Producer Mona Gangster ametetea uwezo wake wa kumsimamisha msanii mpya na kumfikisha katika ngazi ya mafanikio kama ilivyokuwa kwa Young Killer, ikionekana kuwa jitihada zake za kumuingiza msanii wake mpya Motra katika ramani zinasuasua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS