Dkt. Reginald Mengi aitaka jamii kusaidia walemavu
Watu wenye ulemavu nchini wametakiwa kusimamia haki zao ya kuthaminiwa katika jamii kwa kuhakikisha kuwa kamwe jamii haitumii mapungufu ya hali ya ulemavu waliyonayo kama sababu ya kuwanyanyasa na kuwabagua.

