Dkt. Magufuli amaliza kazi ya uteuzi mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake.