ADC waitaka ZEC kusimamia uchaguzi kwa haki Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia chma cha ADC na mwanasiasa mkongwe nchini Hamad Rashid, ameitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC kuangalia utaratibu mzuri wa kuondoa sintofahamu za kukiukwa kwa sheria Read more about ADC waitaka ZEC kusimamia uchaguzi kwa haki