Tumeshafikisha fedha wilaya zote - Simbachawene
Serikali imesema kuwa tayari imekwisha peleka fedha kwenye wilaya zote Tanzania bara na tayari wameshawapa wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi na kuwataka kuhakikisha wanazisimamia fedha hizo ziende moja kwa moja kwenye mashule husika.

