Polisi aua Mwenzake na kisha kujiua Mwanza
Polisi wawili wa kituo kikuu cha polisi jijini Mwanza, wamefariki dunia baada ya mmoja wao kumpiga risasi ya bega askari mwenzake kisha naye kujipiga risasi chini ya kidevu na kutokea kichwani na kupelekea umauti.