JWTZ yafafanua Rais kuvaa kijeshi

Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetoa ufafanuzi kuhusu uhalali wa Rais Magufuli kuvaa mavazi ya kijeshi na kupita nayo mitaani, huku mavazi hayo yakiwa hayaoneshi cheo chake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS