Drogba kutorejea Chelsea Klabu ya Montreal Impact imesema nyota wa zamani wa Chelsea Didier Drogba atasalia katika klabu hiyo, na kusitisha uvumi kwamba huenda akarejea Stamford Bridge. Read more about Drogba kutorejea Chelsea