Ivory Coast yaungana na wenyeji robo fainali CHAN

Michuano ya CHAN 2016 nchini RWANDA

Timu ya Taifa ya Ivory Coast imefuzu robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani baada ya kuinyuka Gabon mabao 4-1 kwenye mchezo wa kundi A uliopigwa jana nchini Rwanda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS