Islamic State yahusika na shambulio la Indonesia Wanamgambo wa kundi la Islamic State wamedai kuhusika na shambulizi la Alhamis katika mji mkuu wa Indonesia wa Jakarta shambulizi ambalo lilisababisha vifo vya watu saba wakiwemo washambuliaji watano. Read more about Islamic State yahusika na shambulio la Indonesia