Murray uso kwa uso na mjerumani Australian Open mashindano ya wazi ya Australia Mchezaji wa tenisi namba moja nchini Uingereza Andy Murray atafungua dimba la michuano ya wazi ya Australia januari 18 atakapoumana na Mjerumani Alexander Zverev. Read more about Murray uso kwa uso na mjerumani Australian Open