Mume wa Celine Dion afariki dunia Celine Dion akiwa na aliyekuwa mume wake Rene Angelil Mume wa mwanamuziki Celine Dion ambaye pia aliwahi kuwa meneja wake, Rene Angelil, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, mwanamuziki huyo amesema. Read more about Mume wa Celine Dion afariki dunia