Serikali kuwasaidia waliokumbwa na maafa ya mvua

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama

Serikali imezitaka kamati za maafa kuanzia ngazi ya kata mkoa na wilaya kushughulikia matatizo ya maafa ikiwemo mafuriko na ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi ili kuokoa maisha ya kazi wa eneo husika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS