Wakazi wa Mwakata bado wanalala kwenye maturubali Wakazi wa Mwakata wilayani Kahama Mkoani Shinyanga bado wanakubwa na kadhia ya kukosa makazi baada ya kukumbwa na mvua ya mawe iliyoua watu 42 na kujeruhi 91 mwaka jana 2015 mwezi Machi. Read more about Wakazi wa Mwakata bado wanalala kwenye maturubali