Simba SC yajipa matumaini ya ubingwa ligi kuu Bara Klabu ya Simba SC imesema inaamini itachukua ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara msimu huu kutokana na maboresho yaliyo ndani ya kikosi hicho. Read more about Simba SC yajipa matumaini ya ubingwa ligi kuu Bara