Xavier kuifunza Msumbiji Nyota wa zamani wa klabu ya Liverpool Abel Xavier enzi zake akicheza soka. Aliyekuwa mlinzi wa Liverpool pamoja na timu ya taifa ya Ureno Abel Xavier ameteuliwa kuwa mkufunzi mpya wa timu ya taifa la Msumbiji. Read more about Xavier kuifunza Msumbiji