Kamati ya Usuluhishi EAC yakutana wadau Burundi
Kamati ya Usuluhishi wa migogoro ya ndani ya Bunge la Afrika Mashariki imewakutanisha wawakilishi serikali ya Burundi, Vyama vya upinzani na Asasi za kiraia kwa lengo la kujadili namna ya kurejesha hali ya utulivu katika nchi hiyo.
