Azam kuishusha Yanga au Mtibwa kuongeza pointi leo Azam FC inashuka dimbani uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam hii leo kuvaana na Mtibwa Sugar katika mchezo wake wa kiporo wa michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about Azam kuishusha Yanga au Mtibwa kuongeza pointi leo