UN: Vikosi vya Burundi 'viliwabaka' wanawake
Afisa anayesimamia masuala ya haki za kibinaadamu katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa ana ushahidi kwamba vikosi vya usalama vya Burundi viliwabaka wanawake vilipokuwa vikitafuta nyumba za wafuasi wa upinzani

