Japan kuwalipa watumwa wa ngono wa Kikorea Japan na Korea Kusini zimefikia makubaliano ya kihistoria kuhusu wanawake waliolazimishwa kuhudumu katika madanguro kama watumwa wa ngono wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Read more about Japan kuwalipa watumwa wa ngono wa Kikorea