Mashabiki wa Coastal wataka uongozi ujiuzulu
Wanachama wa klabu ya Coastal Union ya jijini Tanga wameutaka uongozi wa timu hiyo kujiuzulu kwa kuwa wameshindwa kuiendesha timu kutokana na matokeo mabaya katika michuano ya ligi kuu ya Soka Tanzania Bara.
