Ndemla kutimkia TP Mazembe kwenye majaribio Kiungo wa Klabu ya Simba SC Said Ndemla Kiungo kinda wa klabu ya Simba Said Ndemla, anatarajia kwenda kufanya majaribio kwenye kikosi cha TP Mazembe ya DR Congo ili kusaka nafasi ya kucheza soka katika klabu hiyo. Read more about Ndemla kutimkia TP Mazembe kwenye majaribio