Bunge EALA kuingilia kati Mgogoro wa Burundi

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo

Bunge la Afrika Mashariki (EALA) sasa limeamua kujitosa rasmi kusuluhisha mgogoro wa kisiasa nchini Burundi, baada ya Asasi za kiraia na Taasisi mbalimbali zilizoko nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), kuomba Bunge hilo kuingilia kati

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS