Sina taarifa za Cannavaro kujiondoa Stars - Mkwasa
Kocha mkuu wa kikosi cha Timu ya Taifa, Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa amesema hajapata taarifa rasmi ya aliyekuwa nahodha wa kikosi hicho Nadir Haroub Cannavaro kustaafu kukitumikia kikosi hicho.

