Nafuta makosa,nifanye vizuri kwa Ndanda FC-Kibaden
Kocha Mkuu wa JKT Ruvu Abdallah Kibaden amesema atahakikisha anafuta makosa yaliyomsababishia asipate ushindi dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara uliochezwa juzi uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.